Monday, September 2, 2019

UNAPOJIAJIRI , UNAPASWA KUFIKIRI TOFAUTI NA WALE WALIOAJIRIWA ------------ " Fursa Afrika Mashariki Blog "

Unapojiajiri, unapaswa kufikiri tofauti kabisa na wale walioajiriwa. Kwa sababu kuna vitu ambavyo watu walioajiriwa hawajisumbui navyo sana, kwa sababu wameahidiwa vinafanyiwa kazi, mfano bima ya afya, mafao ya uzeeni na mengineyo. Unapoachana na ajira na kuamua kujiajiri moja kwa moja, mambo hayo utapaswa kuyahangaikia mwenyewe, lazima utafute bima yako na familia yako na pia lazima uwekeze ili kujiandaa kwa siku zijazo. Kwa sababu hakuna anayekuandalia mafao, unapaswa kutengeneza uwekezaji wako mwenyewe, ambao miaka mingi ijayo utaweza kukuingizia wewe kipato hata kama hufanyi kazi moja kwa moja.

1 comment:


  1. Ili Kujifunza Zaidi JIUNGE naDARASA LA SEMINA--ONLINE--DARASA LA GOOGLE / GOOGLE CLASSROOM na utahitajika KULIPA ADA YA UANACHAMA Tsh 10000 kwa mwezi.

    WASILIANA NASI UJIUNGE ILI UJIFUNZE KIUNDANI


    KOCHA Mwl Japhet Masatu ( Dar es Salaam , Tanzania, EAST AFRIKA.
    Call /Message / WhatsApp + 255 716924136 / + 255 755 400128 / + 255 688 361 539

    EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com

    ReplyDelete