Fursa za kibiashara zipo kila mahali, huhitaji elimu ya ziada ndiyo uweze kuziona, wala huhitaji uwe na uwezo wa kipekee kuweza kuziona. Unachohitaji ni udadisi na kutumia macho yako na masikio yako kuziona fursa nyingi za kibiashara zinazokuzunguka.
PAGES
- HOME
- MAKUNDI YA FURSA / TAMBUA FURSA ZAKO
- MAFUNZO YA STADI ZA KAZI / VOCATIONAL SKILLS--SHULE ZA MSINGI / PRIMARY SCHOOLS---TANZANIA
- MIPANGO YA KUSTAAFU NA MBINU ZA UJASIRIAMALI
- VIPAJI NA UBUNIFU
- MAPENZI--NDOA YANGU ---KUCHIPUA NA KUNYAUKA
- UCHAWI--UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA
- ELIMU YA MSINGI YA FEDHA / BASIC FINANCIAL EDUCATION
- BIASHARA NDANI YA AJIRA
- KURASA ZA MAISHA NA MAFANIKIO
- ELIMU YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
- JIFUNZE , ELIMIKA , CHUKUA HATUA , FANIKIWA
- HUDUMA ZETU
- BIASHARA NDANI YA AJIRA.
- UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.
- EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.
Showing posts with label FURSA KATIKA SEKTA YA KILIMO. Show all posts
Showing posts with label FURSA KATIKA SEKTA YA KILIMO. Show all posts
Friday, June 12, 2020
Saturday, July 20, 2019
FURSA ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA KILIMO ----------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "
Je, una Malengo ya Kufanya biashara kwenye SEKTA YA KILIMO ? Tazama FURSA zilizopo kwenye Sekta hii unazoweza kufanya bila MTAJI mkubwa. SEKTA YA KILIMO na Chakula , ni moja ya biashara muhimu sana kwa wanadamu kote duniani na mahitaji yake yanaongezeka kila kukicha.Hakuna siku biashara hii itakuja dorora na kuishiwa FURSA , hii ni kwa sababu ya ongezeko kubwa la watu duniani hali inayopelekea mahitaji ya chakula kuwa makubwa kuliko jana na juzi.Hii ni sehemu bora ya kutengeneza mtonyo mnene. UWEKEZAJI kwenye SEKTA YA KILIMO hujumuisha Kilimo cha Mazao mbalimbali , uzalishaji na uuzaji wa mazao mbalimbali na KILIMO.
MUHIMU : Ili kuendelea Kujifunza Zaidi na Kugundua FURSA mbalimbali zilizojificha na unazoweza kufanya katika
'SEKTA YA KILIMO" , jiunge na "FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " kwa pamoja na " DARASA LA SEMINA--FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI " ( Google Classrom ) kwa kulipa ADA YA UANACHAMA ( Tshs 10,000 kwa Mwezi ) ili uweze kusoma MAKALA mbalimbali za FURSA na Kuzigundua na kujifunza " FURSA ZINAZOKUZUNGUKA " na Kuzifanyia Kazi na KUFANIKIWA na hatimaye kupata UTAJIRI.
Utaziona MAKALA lakini hutaweza kuzifungua mpaka uwe umejiunga na kuwa mwanachama . UTAJIFUNZA MENGI SANA kupitia DARASA LA SEMINA.
Kujiunga tuma fedha Tshs 10,000 kwa
MPESA NAMBA 0755400128 ( Majina JAPHET CHIBAJILO )
TIGO PESA NAMBA 0716924136 ( Majina Japhet Masatu )
AIRTEL MONEY 0688 361 539 ( Majina Japhet Masatu )
Ukishatuma ADA tuma pia EMAIL yako kwa njia ya Meseji kuhusu malipo tayari kwa kuunganishwa.
Ukishatuma ADA tuma pia EMAIL yako kwa njia ya Meseji kuhusu malipo tayari kwa kuunganishwa.
Ndimi Rafiki na Kocha Wako Mwl Japhet Masatu , Dar es salaam ,Tanzania , Afrika Mashariki ,
Kama bado hujajiunga na " FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na "DARASA LA SEMINA---FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI " ( Google Classroom ) tuwasiliane Kwa Maelekezo Zaidi
WhatsApp / Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
Mwl Japhet Masatu ni Mwalimu Kitaaluma , Kocha wa Maisha na Mafanikio , Mshauri , Mjasiriamali.
Mwl Japhet Masatu anaendesha Mafunzo Ya Maisha na Mafanikio kwa Wale Waliojitoa hasa Kufanikiwa Kupitia Programu ya " MAISHA NA WEWE " na " FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI "
ULIZA MASWALI , TOA MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO kwa Email hii:- EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com
Subscribe to:
Posts (Atom)