Nassim Taleb anatuambia kuna vitu vitatu vyenye uraibu mbaya, madawa ya
kulevya(unga), vyakula vya wanga (sukari) na mshahara wa kila mwezi.
Ukishauzoea mshahara, ni vigumu sana kuweza kufanya kitu kikubwa kwenye maisha yako. Kwa sababu maisha yako yanakuwa ya mipango ya mwisho wa mwezi tu. Kwamba mwisho wa mwezi huu nitafanya hiki au kile.
Mshahara ukitoka unakuwa na mipangilio mingi kuliko kiwango chake, hivyo ndani ya siku mbili unakuwa umeisha. Na hapo unafanya nini? Unajua vyema, unaanza kukopa kwa sababu unajua mshahara ujao utalipa. Na hapo ndipo uraibu unapojenga mizizi.
Kuondokana na uraibu huu wa mshahara, lazima uanze kujijengea msingi wa kipato nje ya mshahara.
JIUNGE NA DARASA LA SEMINA LA MAFUNZO ONLINE KILA SIKU NA UCHUKUE HATUA , MAISHA NA WEWE ! FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI ,
Kwa maelekezo zaidi Tuwasiliane kwa Call / Message / ( WhatsApp + 255716924136 )/ + 255 755 400128 / +255 688 361 539
No comments:
Post a Comment