Fursa za kibiashara zipo kila mahali, huhitaji elimu ya ziada ndiyo uweze kuziona, wala huhitaji uwe na uwezo wa kipekee kuweza kuziona. Unachohitaji ni udadisi na kutumia macho yako na masikio yako kuziona fursa nyingi za kibiashara zinazokuzunguka.
PAGES
- HOME
- MAKUNDI YA FURSA / TAMBUA FURSA ZAKO
- MAFUNZO YA STADI ZA KAZI / VOCATIONAL SKILLS--SHULE ZA MSINGI / PRIMARY SCHOOLS---TANZANIA
- MIPANGO YA KUSTAAFU NA MBINU ZA UJASIRIAMALI
- VIPAJI NA UBUNIFU
- MAPENZI--NDOA YANGU ---KUCHIPUA NA KUNYAUKA
- UCHAWI--UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA
- ELIMU YA MSINGI YA FEDHA / BASIC FINANCIAL EDUCATION
- BIASHARA NDANI YA AJIRA
- KURASA ZA MAISHA NA MAFANIKIO
- ELIMU YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
- JIFUNZE , ELIMIKA , CHUKUA HATUA , FANIKIWA
- HUDUMA ZETU
- BIASHARA NDANI YA AJIRA.
- UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.
- EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ACHA KUJIFIKIRIA WEWE MWENYEWE.
ReplyDeleteUnapoongea mbele ya wengine, unapaswa kujisahau wewe na kuwafikiria wale unaoongea nao. Hii ndiyo njia pekee itakayokufanya wewe uongee kwa usahihi na kwa ushawishi. Kama utatumia muda mwingi kujifikiria zaidi wewe, sauti unachoongea kinakosa nguvu na watu hawahamasiki kukusikiliza au kuchukua hatua. Pia badili mfumo wako wa maongezi kwa kuacha kuongea kwa mtindo mmoja wakati wote.