AFYA , MADAWA na MATIBABU ni eneo nyeti sana ambalo sio la kufanyia mzaha.SEKTA hii ni muhimu sana kwa binadamu ndio maana hata katika kipindi kigumu sana cha kiuchumi watu wanaweza kupunguza manunuzi ya vitu vya starehe lakini hawawezi kubana matumizi kwenye sekta hii. Ukweli ni kwamba mtu akikosa huduma sahihi kipindi cha ugonjwa wake anaweza kupoteza maisha. Je, una ELIMU juu ya maswala ya matibabu ? Ungependa kuwekeza kwenye sekta hii HATA KAMA HAUNA ELIMU YA AFYA ? Mdau wangu , Rafiki Yangu Soma Na Ujifunze fursa mbalimabali zinazopatikana kwenye sekta hii kwa KUJIUNGA UANACHAMA.
MUHIMU : Ili kuendelea Kujifunza Zaidi na Kugundua FURSA mbalimbali zilizojificha katika SEKTA hii ya " AFYA , MADAWA NA MATIBABU " , jiunge na "FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na " DARASA LA SEMINA " kwa kulipa ADA YA UANACHAMA ( Tshs 10000 kwa Mwezi ) ili uweze Kuzigundua na kujifunza " FURSA ZINAZOKUZUNGUKA " na Kuzifanyia Kazi na KUFANIKIWA.
Ndimi Rafiki na Kocha Wako Mwl Japhet Masatu , Dar es salaam ,Tanzania , Afrika Mashariki ,
Kama hujajiunga na " FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na "DARASA LA SEMINA " tuwasiliane Kwa Maelekezo Zaidi
WhatsApp / Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
ULIZA MASWALI , TOA MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO kwa Email hii
EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com
Fursa za kibiashara zipo kila mahali, huhitaji elimu ya ziada ndiyo uweze kuziona, wala huhitaji uwe na uwezo wa kipekee kuweza kuziona. Unachohitaji ni udadisi na kutumia macho yako na masikio yako kuziona fursa nyingi za kibiashara zinazokuzunguka.
PAGES
- HOME
- MAKUNDI YA FURSA / TAMBUA FURSA ZAKO
- MAFUNZO YA STADI ZA KAZI / VOCATIONAL SKILLS--SHULE ZA MSINGI / PRIMARY SCHOOLS---TANZANIA
- MIPANGO YA KUSTAAFU NA MBINU ZA UJASIRIAMALI
- VIPAJI NA UBUNIFU
- MAPENZI--NDOA YANGU ---KUCHIPUA NA KUNYAUKA
- UCHAWI--UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA
- ELIMU YA MSINGI YA FEDHA / BASIC FINANCIAL EDUCATION
- BIASHARA NDANI YA AJIRA
- KURASA ZA MAISHA NA MAFANIKIO
- ELIMU YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
- JIFUNZE , ELIMIKA , CHUKUA HATUA , FANIKIWA
- HUDUMA ZETU
- BIASHARA NDANI YA AJIRA.
- UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.
- EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment