Sekta ya Usafirishaji ni sekta ya mamilioni ya PESA duniani kote . Kila kukicha watu wanasafiri : kuwe na mdororo wa kiuchumi watu watasafiri hivyohivyo. Sasa ni kwanini usitupie jicho lako kwenye sekta hii na uanze kutengeneza PESA ? Kama unataka kufanya uwekezaji kwenye sekta hii.
Biashara ya Usafirishaji ni biashara pana ambayo inajumuisha magari ya abiria na magari ya mizigo. Ni biashara yenye faida sana , inayohitaji MTAJI mkubwa na usimamizi wa hali ya juu ili kudhibiti WIZI WA MAPATO.
Kwa Kujifunza Zaidi na Kugundua FURSA zilizojificha katika SEKTA hii ya " USAFIRISHAJI , UCHUKUZI NA UTALII JIUNGE NA " DARASA LA SEMINA AU " FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " KWA KULIPA ADA YA UANACHAMA ( Tshs 10000 kwa Mwezi ) ili uweze Kuzigundua " FURSA ZINAZOKUZUNGUKA " na Kuzifanyia Kazi na KUFANIKIWA.
Ndimi Rafiki na Kocha Wako Mwl Japhet Masatu , Dar es salaam ,Tanzania , Afrika Mashariki ,
WhatsApp / Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com
Fursa za kibiashara zipo kila mahali, huhitaji elimu ya ziada ndiyo uweze kuziona, wala huhitaji uwe na uwezo wa kipekee kuweza kuziona. Unachohitaji ni udadisi na kutumia macho yako na masikio yako kuziona fursa nyingi za kibiashara zinazokuzunguka.
PAGES
- HOME
- MAKUNDI YA FURSA / TAMBUA FURSA ZAKO
- MAFUNZO YA STADI ZA KAZI / VOCATIONAL SKILLS--SHULE ZA MSINGI / PRIMARY SCHOOLS---TANZANIA
- MIPANGO YA KUSTAAFU NA MBINU ZA UJASIRIAMALI
- VIPAJI NA UBUNIFU
- MAPENZI--NDOA YANGU ---KUCHIPUA NA KUNYAUKA
- UCHAWI--UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA
- ELIMU YA MSINGI YA FEDHA / BASIC FINANCIAL EDUCATION
- BIASHARA NDANI YA AJIRA
- KURASA ZA MAISHA NA MAFANIKIO
- ELIMU YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
- JIFUNZE , ELIMIKA , CHUKUA HATUA , FANIKIWA
- HUDUMA ZETU
- BIASHARA NDANI YA AJIRA.
- UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.
- EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment