Wednesday, July 31, 2019

GETTING EVERYTHING YOU CAN OUT OF ALL YOU" VE GOT---BY JAY ABARAHAM

jay abraham 1

2 comments:

  1. Kwenye kitabu hiki, Jay ametushirikisha njia 21 za kuweza kufikiri, kufanya na kutengeneza kipato zaidi kuliko wengine kupitia kazi au biashara tunazofanya.

    Karibu tujifunze, tupate maarifa, mikakati na hamasa za kwenda kuchukua hatua ili tusibaki pale tulipo sasa.

    ReplyDelete
  2. TATIZO HUJUI UNACHOTAKA.

    Pata picha, unataka kuwa na safari, unaondoka nyumbani umebeba mizigo yako na kuelekea kituo cha mabasi. Unakaribishwa na kuulizwa unaenda wapi, unasema popote basi linapokwenda. Je unafikiri basi hilo litakupeleka wapi?

    Unaweza kushangaa na kujiuliza inawezekanaje mtu mwenye akili timamu aende kituo cha basi kwa ajili ya safari halafu hajui anakokwenda!

    Kabla hujaendelea kushangaa, hebu jiulize kwanza maswali haya muhimu; unakwenda wapi na maisha yako? unakwenda wapi na biashara unayofanya? Unakwenda wapi na kazi uliyonayo? Unakwenda wapi na mahusiano uliyonayo?

    Kwa maneno mengine, miaka 5, 10, 20 na zaidi ijayo unajiona wapi? Kama huwezi kutoa jibu moja kwamba unajiona wapi katika vipindi hivyo, kwa hakika huna tofauti na anayeenda kwenye kituo cha mabasi huku akiwa hajui anakwenda wapi.

    ReplyDelete