Fursa za kibiashara zipo kila mahali, huhitaji elimu ya ziada ndiyo uweze kuziona, wala huhitaji uwe na uwezo wa kipekee kuweza kuziona. Unachohitaji ni udadisi na kutumia macho yako na masikio yako kuziona fursa nyingi za kibiashara zinazokuzunguka.
PAGES
- HOME
- MAKUNDI YA FURSA / TAMBUA FURSA ZAKO
- MAFUNZO YA STADI ZA KAZI / VOCATIONAL SKILLS--SHULE ZA MSINGI / PRIMARY SCHOOLS---TANZANIA
- MIPANGO YA KUSTAAFU NA MBINU ZA UJASIRIAMALI
- VIPAJI NA UBUNIFU
- MAPENZI--NDOA YANGU ---KUCHIPUA NA KUNYAUKA
- UCHAWI--UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA
- ELIMU YA MSINGI YA FEDHA / BASIC FINANCIAL EDUCATION
- BIASHARA NDANI YA AJIRA
- KURASA ZA MAISHA NA MAFANIKIO
- ELIMU YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
- JIFUNZE , ELIMIKA , CHUKUA HATUA , FANIKIWA
- HUDUMA ZETU
- BIASHARA NDANI YA AJIRA.
- UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.
- EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Je, una malengo ya kufanya BIASHARA kwenye SEKTA YA KILIMO ? Tazama FURSA zilizopo kwenye sekta hii unazoweza kufanya bila MTAJI au kwa MTAJI mdogo au kwa MTAJI mkubwa.SEKTA YA KILIMO NA CHAKULA , ni moja ya biashara muhimu sana kwa wandamu kote duniani na mahitaji yake yanaongezeka kila kukicha. Hakuna siku biashara hii itakuja kudorora na kuishiwa FURSA , hii ni kwa sababu ya ongezeko kubwa la watu duniani hali inayopelekea mahitaji ya chakula kuwa makubwa kuliko jana na juzi. Hii ni sehemu bora ya KUTENGENEZA FEDHA NYINGI NA KUTAJIRIKA. UWEKEZAJI , KWENYE KILIMO hujumuisha Kilimo cha mazao mbalimbali , uzalishaji na uuzaji wa mazao yatokanayo na KILIMO. JIUNGE NA DARASA ONLINE / GOOGLE CLASSROOM uweze kujifunza FURSA MBALIMBALI unazoweza kufanya katika SEKTA YA KILIMO na FURSA ZINGINE KATIKA SEKTA MBALIMBALI. WASILIANA NAMI KOCHA MWL. JAPHET MASATU --- Call / MESEJI / WhatsApp + 255 716 924136
ReplyDelete