Monday, December 9, 2019

SAPIENS--A Brief History Of Humankind by Yuval Noah Harari

sapiens.jpg

1 comment:

  1. Kwa kuangalia dunia kwa ujumla na watu kwa pamoja, uhuru unaonekana kuwepo, lakini kwa kuangalia mtu mmoja mmoja, uhuru ni mgumu sana kufikiwa. Kwani kila hatua ambayo tunapiga kama binadamu, inatufanya kuwa watumwa zaidi.

    Mwandishi na mwanahistoria Yuval Noah Harari kwenye kitabu chake kinachoitwa SAPIENS; A Brief History Of Humankind ametushirikisha historia fupi ya maisha yetu binadamu hapa duniani, kwa kutumia sayansi za asili (natural sciences) na bailojia ya mageuzi (evolutionary biology).

    ReplyDelete