1. Mshahara haujawahi kutosha.
2. Ongezeko la mshahara huwa haliendani na ukuaji wa gharama za maisha.
3. Mshahara huwa unaleta uteja, unapozoea kupokea kila mwezi unakuwa kama mlevi.
4. Mishahara huwa haikutani.
5. Mshahara hutengeneza tabia ya ukopaji sugu ambayo inakuwa mzigo zaidi.
6. Mshahara ni rushwa unayopewa ili usiishi ndoto zako.
7. Mwajiri anakulipa kiasi kidogo kiasi kwamba hutaacha kazi.
8. Mshahara unatengeneza wategemezi wengi, unapokuwa na mshahara kila mtu anajua lini umeupata.
9. Huwezi kutajirika kwa mshahara, bali utatajirika kwa kile unachofanya na mshahara huo.
10. Watu wengine ndiyo wanaoamua kiasi gani cha mshahara ulipwe.
Fursa za kibiashara zipo kila mahali, huhitaji elimu ya ziada ndiyo uweze kuziona, wala huhitaji uwe na uwezo wa kipekee kuweza kuziona. Unachohitaji ni udadisi na kutumia macho yako na masikio yako kuziona fursa nyingi za kibiashara zinazokuzunguka.
PAGES
- HOME
- MAKUNDI YA FURSA / TAMBUA FURSA ZAKO
- MAFUNZO YA STADI ZA KAZI / VOCATIONAL SKILLS--SHULE ZA MSINGI / PRIMARY SCHOOLS---TANZANIA
- MIPANGO YA KUSTAAFU NA MBINU ZA UJASIRIAMALI
- VIPAJI NA UBUNIFU
- MAPENZI--NDOA YANGU ---KUCHIPUA NA KUNYAUKA
- UCHAWI--UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA
- ELIMU YA MSINGI YA FEDHA / BASIC FINANCIAL EDUCATION
- BIASHARA NDANI YA AJIRA
- KURASA ZA MAISHA NA MAFANIKIO
- ELIMU YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
- JIFUNZE , ELIMIKA , CHUKUA HATUA , FANIKIWA
- HUDUMA ZETU
- BIASHARA NDANI YA AJIRA.
- UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.
- EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ReplyDeleteKama umechoshwa na mshahara ambao haukuwezeshi kupiga hatua, basi unapaswa kuwa na kitu cha pembeni ambacho kinakuingizia kipato.
DARASA LA SEMINA ( GOOGLE CLASROOM ) Linakupa mwongozo sahihi kwako kuanzisha na kukuza biashara yako ukiwa kwenye ajira.
ReplyDeleteWasilioana nasi kwa namba 0716924136 kwa maelekezo zaidi