Saturday, February 7, 2026

MAKALA---KUWA NA NIDHAMU YA MUDA ILI KUYABADILISHA MAISHA YAKO--------MWL. JAPHET MASATU-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

 


Hakuna Adui Mkubwa Kama Muda Unaoupoteza Mwenyewe…
‎
Rafiki yangu,
‎
‎Wengi wanadhani tatizo lao ni bahati mbaya.
‎Wanashangaa kwanini wengine wanapata kila kitu kwa urahisi,
‎wakidhani wao wamekataliwa.
‎
‎Lakini ukweli?
‎Huna tatizo la bahati.
‎Huna tatizo la akili.
‎
‎Tatizo ni nidhamu ya muda.
‎
‎Kila dakika unayoipuuzia, ndoto zako zinakimbia kimya kimya.
‎Fursa zinakupita kila siku.
‎
‎Wengine wanazipata na kuzishughulikia.
‎
‎Wewe unazikosa kwa sababu hauna mpangilio.
‎Watu wanaposema, Kesho nitafanya,
‎kesho hubadilika kuwa wiki,
‎wiki hubadilika kuwa mwezi,
‎mwezi hubadilika kuwa mwaka…
‎
‎Juma Mwinyi alipokuwa kijana, alidhani sababu zake zote za kutoshinda ni za nje.
‎Alidhani hakuwa na bahati, hakuwa na vipaji vya kutosha.
‎
‎Alipoteza muda akijipa visingizio…
‎Si wakati wangu sasa.
‎Kesho itakuwa rahisi zaidi.
‎
‎Lakini kisha Juma alipata ufahamu mmoja mkubwa.
‎MUDA UPO.
‎Si kitabu cha motisha tu.
Si mazoea ya kawaida.
‎Ni mwongozo wa kuishi kwa uangalifu.
‎
‎Alijifunza: Muda hauchukui nafasi ya maisha yako.
‎Wewe ndio unakosa kudhibiti jinsi unavyoutumia.
‎
‎Muda ni adui wako ikiwa hujaweka mipaka.
‎Lakini ikiwa utadhibiti, muda ni rafiki yako mkubwa zaidi.
‎
‎Hebu nikuambie story ya Rafiki yangu mwingine, Salim.
‎Salim alikuwa mfanyabiashara mdogo jijini Dar es Salaam.
‎
‎Alijaribu kila kitu: biashara ya simu, kuuza bidhaa mtandaoni, hata masoko ya jumla.
‎Lakini kila mwezi alikosa mapato.
‎Wateja hawakurudi.
‎
‎Alipoteza imani kwenye uwezo wake.
‎Siku moja, alikuja kuniona.
‎Nikamuuliza: Unadhani Ni nini kilichokuzuia?*
‎
‎Alinambia: Ninafanya kila kitu, lakini siku ikiisha nahisi kama sijafanya chochote.
‎
‎Nilimfundisha kanuni rahisi za MUDA UPO:
‎
‎Kila siku ipange mapema.
‎
‎Chagua hatua zinazoleta faida.
‎
‎Fuatilia kila mteja, kila ahadi, kila fursa.
‎
‎Tumia teknolojia kuhifadhi muda na kukumbusha.
‎Baada ya wiki moja tu, Salim alianza mfumo mpya.
‎
‎Alianza kupanga ratiba, kufuatilia wateja, na kuchagua hatua zenye faida.
‎Siku 30 baadaye, mauzo yake yalipanda mara tatu.
‎
‎Ndoto zake za biashara zilianza kutimia.
‎Salim alishangaa jinsi muda ulivyokuwa adui wake ulivyobadilika kuwa rafiki yake mkubwa.
‎
‎Huu si ushauri wa kawaida.
‎Huu ni ufahamu wa kimataifa.
‎Utakusaidia:
‎Kutambua muda unaopotea kila siku.
‎Kuweka kipaumbele kwa kile kinacholeta matokeo.
‎
‎Kufanya kila hatua ya kazi iwe na thamani halisi.
‎Sasa ni wakati wa kuchukua hatua.
‎Usiruhusu siku nyingine ipite bila mpangilio.
‎
‎Kila dakika ni nafasi mpya ya kushinda.
‎Unaweza kuanzia hapa ðŸ‘‡
‎
‎Muda ni silaha kubwa zaidi ulimwenguni.
‎Wewe ukiudhibiti, hakuna adui yeyote atakayekuangusha.
‎
‎Jifunze kutumia kila dakika kama silaha, na utaona ndoto zako zikitimia kimya kimya.

MAKALA-----KILA KITU UNACHOONA HAPA DUNIANI NI MATOKEO YA KANUNI NA NIDHAMU------NA MWL . JAPHET MASATU

Rafiki yangu, ukweli ni huu…
‎Maisha si magumu.
‎Tatizo ni wewe kutokuwa na kanuni.
‎
‎Kuishi bila kanuni ni kama kuendesha gari bila mwelekeo.
‎Unaanza, unashuka, una-panic, unaishia kupoteza muda.
‎
‎Unafanya kazi nyingi.
‎Unawekeza muda kwenye mambo yanayokuletea usumbufu, lakini siyo matokeo.
‎
‎Una ndoto kubwa.
‎lakini kila siku unaendelea kujiuliza Kwa nini bado sijafanikiwa?
‎
‎Watu waliobadilika hakika hawakubahatisha.
‎Hawakusubiri bahati ibariki.
‎Hawakujaribu kwa nguvu tu.
‎
‎Walibadilisha siku moja.
‎
‎Na kanuni moja ilibadilisha kila kitu.
‎Ni kanuni rahisi, lakini yenye nguvu.
‎Kanuni Ya Siku Ya MAFANIKIO.
‎
‎Siku moja inaweza kuwa mwanzo wa maisha mapya.
‎Kanuni hii inakuonyesha:
‎
‎Nini cha kufanya leo, bila kupoteza muda
‎Nini cha kuacha, ili hatimaye usishuke.
‎
‎Jinsi ya kupanga hatua zako kidogo kidogo, kila siku.
‎
‎Jinsi ya kushinda hofu, mashaka na kuacha kubahatisha.
‎Rafiki yangu, usipoiweka kanuni hii, utaendelea kubahatisha.
‎
‎Utaendelea kufanya mambo bila mpangilio.
‎Kutafuta matokeo bila mbinu.
‎
‎Na hatimaye, kuishia kuchukia juhudi zako, na kuona wengine wakiendelea mbele.
‎
‎Lakini ukipata kanuni hii, kila kitu hubadilika.
‎Muda unaanza ku-deliver faida.
‎Kila hatua unayoichukua inakuwa uwekezaji kwa maisha yako.
‎
‎Wazo zuri linakuwa hatua.
‎Fursa zinakufuata, sio wewe kuzifuata.
‎
‎Nakumbuka kijana mmoja niliyekutana naye kwenye seminar.
‎Alikuwa na ndoto ya kuanzisha biashara.
‎Alikuwa akifanya kila kitu, lakini matokeo hayakuonekana.
‎
‎Nilimuuliza: Una mfumo wowote wa kufuatilia mafanikio yako?
‎
‎Alijibu kwa kucheka: Mfumo? Hapana. Ninafanya kila kitu kwa bahati.
‎
‎Nikamuambia: Hapo ndipo unapopoteza muda. Weka kanuni moja, na utapata matokeo.
‎
‎Alijaribu.
‎Siku ya kwanza aliweka mpango, aliondoa mashaka yake.
‎
‎Siku ya pili akaufuatilia, akapata matokeo madogo.
‎Siku ya saba, aliweka target ya wiki.
‎Na baada ya mwezi mmoja, ndoto yake ilianza kutimia.
‎
‎Hii sio bahati.
‎Hii ni nguvu ya kanuni moja ya siku ya mafanikio.
‎
‎Nafasi inakuwa wazi.
‎Utaona kilichokuwa kimejificha mapema.
‎Na kila hatua unayoichukua inakuwa uwekezaji wa maisha yako.
‎
‎Rafiki yangu, kitabu hiki kinakufundisha jinsi ya:
‎Kuamua hatua muhimu ya leo
‎Kuacha hofu na mashaka
‎Kuunda mfumo rahisi wa kuendesha maisha yako.
‎
‎Kushinda tabia ya procrastination na bahati mbaya.
‎
‎Kila mtu anayetumia kanuni hii, anakua mwenye amani, uthabiti, na mafanikio.
‎
‎Unapoanza leo, hatimaye unakuwa mtu anayejua nini cha kufanya na nini cha kuacha.
‎
‎Hakuna bahati. Hakuna bahati mbaya.
‎Kila kitu ni matokeo ya kanuni na nidhamu yako.
‎
‎Rafiki, hii ni nafasi yako ya kuacha kubahatisha.
‎Ni wakati wa kuiamsha kanuni ndani yako.
‎
‎Ukiipuuza, utabaki kwenye mzunguko wa kushindwa.
‎Lakini ukiisoma, ukiifuata, kila hatua itakusogeza karibu na mafanikio.
‎
‎Ndoto zako hazitakuwa ndoto tena.
‎Zitakuwa maisha halisi yanayokuletea furaha, amani, na utajiri.
‎
‎Huu ni wakati wako.
‎Sasa.
‎Siku hii ni muhimu zaidi ya jana.

Wednesday, January 1, 2025

JIFUNZE UJUZI WA KUUZA NA MASOKO------BY MWL JAPHET MASATU-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

 

 Kinachomtofautisha  MTU    mwenye  MAFANIKIO   KATIKA  BIASHARA     na   MTU  ambaye   HAJAFANIKIWA    ni  UWEZO   WA  KUUZA   ZADI  SOKONI.

 Kama  unataka  KUFANIKIWA  /  KUTOBOA     KATIKA  BIASHARA    YAKO  KWEA  MATOKEO  MAKUBWA basi  uwe  tayari   KUJIFUNZA  UJUZI  HUU  MUHIMU  SANA    WA  KUUZA  ILI  UWEZE  KUENDESHA  BIASHARA  YAKO  KWA  UFANISI    MKUBWA. 

  WATU  wengi  WANAANZA   KUWEKEZA   KATIKA   BIASHARA ILA   WENGI  HAWAJUI   NAMNA  GANI  WANAWEZA    KUJITANGAZA  NA  KUJULIKANA  NA  WATU.

BIASHARA   NI  MATANGAZO .  MAKAMPUNI   MAKUBWA KAMA   YA  COCA   COLA ,  PESPI  N,K  HUJITANGAZA  SANA   NA  HUFANIKIWA  SANA .  HAKUNA   UCHAWI  NA  USHIRIKANA  HAPA   NI  MATANGAZO  KWA  KWENDA  MBELE.

HOW TO SUCCEED---SUCCESS PRINCIPLE 11--- " HOW TO ACQUIRE THE IMAGE OF A STAR "---BY BRIAN ADAMS---( PDF )----" JINSI YA KUWA MAARUFU ( STAR ) KWA KUTUMIA KIPAJI CHAKO "-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136