FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI BLOG
Fursa za kibiashara zipo kila mahali, huhitaji elimu ya ziada ndiyo uweze kuziona, wala huhitaji uwe na uwezo wa kipekee kuweza kuziona. Unachohitaji ni udadisi na kutumia macho yako na masikio yako kuziona fursa nyingi za kibiashara zinazokuzunguka.
PAGES
- HOME
- MAKUNDI YA FURSA / TAMBUA FURSA ZAKO
- MAFUNZO YA STADI ZA KAZI / VOCATIONAL SKILLS--SHULE ZA MSINGI / PRIMARY SCHOOLS---TANZANIA
- MIPANGO YA KUSTAAFU NA MBINU ZA UJASIRIAMALI
- VIPAJI NA UBUNIFU
- MAPENZI--NDOA YANGU ---KUCHIPUA NA KUNYAUKA
- UCHAWI--UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA
- ELIMU YA MSINGI YA FEDHA / BASIC FINANCIAL EDUCATION
- BIASHARA NDANI YA AJIRA
- KURASA ZA MAISHA NA MAFANIKIO
- ELIMU YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
- JIFUNZE , ELIMIKA , CHUKUA HATUA , FANIKIWA
- HUDUMA ZETU
- BIASHARA NDANI YA AJIRA.
- UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.
- EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.
Saturday, March 8, 2025
KITABU--334---STADI ZA KAZI---DARASA LA TATU ( STD 3 )----KITABU CHA MWANAFUNZI----FULL NUKUU ZA SOMO / NOTES---PICHA , CHAPA , MAUMBO NA MAPAMBO , SANAA ZA MAONYESHO , USUSI , USHONI WA NGUO , MUZIKI , KILIMO NA UFUGAJI----KWA SHULE ZA MSINGI---TANZANIA------( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136 ---USIKOSE KITABU HIKI
Friday, March 7, 2025
KITABU---332----STADI ZA KAZI / ELIMU UJUZI / AMALI---11------DARASA LA PILI ( STD 2 )----KITABU CHA MWANAFUNZI----FULL NUKUU ZA SOMO / NOTES---TUCHORE PICHA , TUFINYANGE VIFANI , TUSUKE UKILI . TUSHONE , SANAA ZA MAONYESHO , MUZIKI-----KWA SHULE ZA MSINGI----TANZANIA----( PDF )------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136------USIKOSE KITABU HIKI
Wednesday, February 12, 2025
Monday, February 10, 2025
Thursday, January 16, 2025
Wednesday, January 1, 2025
JIFUNZE UJUZI WA KUUZA NA MASOKO------BY MWL JAPHET MASATU-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Kinachomtofautisha MTU mwenye MAFANIKIO KATIKA BIASHARA na MTU ambaye HAJAFANIKIWA ni UWEZO WA KUUZA ZADI SOKONI.
Kama unataka KUFANIKIWA / KUTOBOA KATIKA BIASHARA YAKO KWEA MATOKEO MAKUBWA basi uwe tayari KUJIFUNZA UJUZI HUU MUHIMU SANA WA KUUZA ILI UWEZE KUENDESHA BIASHARA YAKO KWA UFANISI MKUBWA.
WATU wengi WANAANZA KUWEKEZA KATIKA BIASHARA ILA WENGI HAWAJUI NAMNA GANI WANAWEZA KUJITANGAZA NA KUJULIKANA NA WATU.
BIASHARA NI MATANGAZO . MAKAMPUNI MAKUBWA KAMA YA COCA COLA , PESPI N,K HUJITANGAZA SANA NA HUFANIKIWA SANA . HAKUNA UCHAWI NA USHIRIKANA HAPA NI MATANGAZO KWA KWENDA MBELE.